Wednesday, September 19, 2012

Kido jembe inaungana na familia ya Mheshimiwa Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki kwa msiba wa baba yao Mzee Augustino Lissu. Mungu alitoa na Mungu alitwaa....

 
Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda akimfariji dada wa Tundu Lissu (mbunge wa Singida mashariki - Chadema) ambae pia ni mbunge viti maalum chadema Christina Lissu, katika msiba wa baba yao mzee Augustino Lissu. Eneo la Tegeta Dar es Salaam.


Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akiwas msibani kwa baba yake Mzee Augustino Lissu Mughwai aliefariki tarehe 16 Sept, mwakahuu katika hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam, atazikwa jumamosi hii mjini Singida.

Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge.


No comments:

Post a Comment