Friday, September 28, 2012

CUF yaisaidia CCM kushinda Umeya Mwanza...


Mgombea wa kiti cha umeya katika Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia CCM na diwani wa kata ya Mkolani Ndg Stanslaus Mabula, ameshinda kiti cha umeya kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa CHADEMA diwani wa kata ya Mahina Ndg Charles Chinchibera aliyepata kura 8.

chadema ilikuwa na madiwani 8, CCM madiwani 7 na CUF madiwani 2.

No comments:

Post a Comment