Sunday, September 16, 2012

Interiors hapa, unashiba kwa Ugx 1500 tu. Sawa na Tsh 1000 ama Ksh 50...

 Evans Musoka na Peter wamechafua meza wa pesa ndogo tu, Ugandaaa jamani rahaaaaa.....

 Jembe hapa nikikata nyama kwa raha zoote bila waiswasi utadhani nimelipia mamilioni kumbe.....

Evans Makundu, shavu linamtoka tu. Kwa chakula cha bei rahisi. Jamkani Mnyonge mnyongeni, Uganda pazuri.

No comments:

Post a Comment