Monday, September 17, 2012

Jamni hii habari ni ya kweli kabisa....


Hii ni nyumba kamili ya mtu, awali lilikuwa ni chumba cha mlizi wa geti. Huyu bwana akaenda kuomba kwa mwenye eneo baada ya geti kuondolewa kuwa akae kwa muda chumbani hapo. Hakukuwa na mlango awali, ila akaweka mlango na huo uwazi wa pili ni jiko hilo.

Tazama maisha yalivyo magumu, maadamu amepata pa kujistiri maisha yanaendelea kama kawaida, hatari hii wadau.

HAFIDH KIDO
KAMPALA, UGANDA
+256790836878/ +255752593894
kidojembe@gmail.com

No comments:

Post a Comment