Wednesday, September 19, 2012

Vipicha vya hapa na pale mjini Kampala...

 Huyu si mgonjwa jamani amechoka tu na kazi maana mhh... Ukisikia mlala hoi ndiyo huyu.

 Katika kitu ambacho waganda walishindwa katika dunia hii ni kumpokea mteja na kumsikiliza. Mganda akikwambia hicho kifaa nauza mia mbili basi hashushi wala hapandishi, ukitaka utanunua usipotaka utawacha...


Picha hizi hazihitaji maelezo jamani, Gabba Beach hii, siku moja moja kula samaki wa ziwani huingii motoni.

No comments:

Post a Comment