Thursday, September 20, 2012

Kesi ya kiamanda lema yaahirishwa mpaka tarehe mbili mwezi ujao..

Ile rufaa ya aliekuwa mbunge wa Arusha mjini haikusikilizwa leo katika mahakama ya Arusha baada ya wakili wa mlalamikaji Tundu Lissu, kutofika mahakamani kutokana na kufiwa na baba yake mzazi. Kesi imeahirishwa mpaka tarehe 2 mwezi wa 10 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment