Monday, September 24, 2012

Nimeingia Dar es Salaam jana Usiku kupitia Nairobi Arusha.....

Mmeona Kifurushi hicho? Kimejaa zawadi zenu msijali, ninazo picha nyingi sana nitaanza kuziweka leo kwa mfuatano unaopendeza.

Leo asubuhi niliamkia ofisini bosi wangu akanipa kazi ya kumuwakilisha katika kikao cha wahariri kujadili masuala ya upatikanaji gesi asilia. Hivyo nilikuwa na siku ndefu. Subirini muone majipiiiiichaa.

Kipo nilichojifunza katika safari yangu hii, ukubwa wa nchi na tatizo la maji na umeme vijijini....

HAFIDH KIDO
DAR ES SALAAM, TANZANIA
0713 593894/ 0752 593894
kidojembe@gmail.com
24/09/2012

No comments:

Post a Comment