Tuesday, September 25, 2012

Pitapita ya jembe mtaani leo...

 Mjini hapa Samora Avenue, hiki ni kijiwe cha wanahabari wote wa Dar es Salaam. Ila ajabu moja ya wanahabari ukiona kijiwe hakina watu jua mambo ni mazuri habari zipo nyingi mjini, nao huo ni ulaji kwa wanahabari. Na ukiona kijiwe kimejaaa ujue hamna kazi mjini na mambo ni mabaya. Leo kijiwe hakikuwa na mtu...


Mwanadada akipita pembeni ya mtu alielala... Hapa ni mjini karibu na ubalozi wa Msumbiji. Hata sijui mtu huyu alikutwa na masaibu gani ya dunia.

No comments:

Post a Comment