Friday, September 28, 2012

Jamani eeehe jembe nawashauri watanzania mliojiandikisha vitambulisho vya uraia nendeni mkahakiki majina yenu...

 Jamaa hakutaka kusubiri asubuhi, alianza kuhakiki jina lake kwa kutumia mwanga wa simu. Asubuhi kazini.

 Jembe na mimi sikutaka kujichosha, nilihakiki jina langu kwa kutumia simu ya tochi. Lakini sikuambulia kitu macho yameshakuwa ya kitu kizima tena. Kayaoni jamanii...

                                                Watu wa Tanga wenyewe wanaita jitangazo.

No comments:

Post a Comment