Monday, September 17, 2012

Leo niliamua tu kuenda kutembea mjini... Kampala bulunji nyooo... jamani. Hii ni Kariakoo ya Kampala jamani, watu wapo mbio kuliko wakati. Ni kazi tu ukizubaa umegongwa na bodaboda (pikipiki).

  Wanyankole Mapera 'ama guava kwa kizungu' huwa wanaita 'amapeera' sasa hapa sijui walimaanisha nini. Jengo jipya hili lipo Kampala road mkabala 'opposite' na kituo cha daladala mjini.

                                Hapa ni Nsambya njia ya kuelekea Gabba Beach ama Munyonyo...


No comments:

Post a Comment