Friday, September 21, 2012

Maandamano ya waislam wa Tanzania kupinga kudhalilishwa Mtume Mohammed SAW.....

Kidongo chekundu hii leo baada ya sala ya Ijumaa. Waislam walitaka kufanya mkutano wao Jangwani lakini Polisi wakawaambia tayari kuna madhehebu ya dini ya Kikristo wana mkutano wa in jili, wakaamua kukutana hapa.

Waislam katika jiji la Dar es Salaam kutoka misikiti yote waliandamana mpaka mahala hapa kuzungumza mambo yao na kulaani kitendo cfha Wamarekani kuigiza filamu inayomkashifu Kipenzi chao Mtume Mohammed SAW...

Picha zote kwa hisani ya Mjengwa Blog...

No comments:

Post a Comment