Hapa waandishi wakiigiza namna mwandishi mwenzao Mwangozi alivyouliwa na jeshi la Polisi mkoani Iringa.
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dk Emmanuel Nchimbi alievalia kaunda suit ya maziwa akiondolewa jukwaani asihutubie. Nchimbi alijidai kutangulia Jangwani ili kuyapokea maandamano hayo, waandishi wakamzomea na kumfukuza...
No comments:
Post a Comment