Tuesday, September 25, 2012

Wanajeshi wataka kuwashughulikia wala rushwa katika katiba mpya....

 Baadhi ya wapiganaji wa JWTZ Brigedi ya Kusini wakifuatilia kwa makini Mkutano wao na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo(jana) katika kikosi cha JWTZ 411 KJ Songea.

Picha kwa hisani ya mjengwa blog.


No comments:

Post a Comment