Thursday, September 27, 2012

Usije mjini wakati wa jioni....

Leo niliingia choo cha kike nikaenda mjini nyakati za jioni. Ilinibidi nitembee kwa miguu kuanzia Posta Mpya mpaka Kariakoo... Kuna foleni mbayaaaa. Hapa ni barabara ya Bbi Titi Mohammed, eneo la Akiba kilipo chuo cha biashara cha CBE. Haya magari hayapo kwenye foleni kwa taarifa yako, hayo ni maegesho katikati ya barabara.... Maendeleo au?

No comments:

Post a Comment