Thursday, September 27, 2012

Tanzania nzuri jamani

 Eldoret hii jamani, Niliingia usiku lakini kwakuwa huu mji ninaupenda nikaamua kubaki na kumbukumbu japo si nzuri.Hii ni Longido wadau, milima ya Oldonyo Sambu, inapendea kwelikweli jamani Tanzania nzuri kweli.....

No comments:

Post a Comment