Monday, October 1, 2012

Msongamano wa magari Dar kuwa ndoto.. Mafundi wakiandaa njia za treni zitakazoanza mwishoni mwa mwezi ujao kwa ajili ya kusafirisha wakazi wa jiji la Dar es salaam kukabiliana na tatizo la msongamano wa magari.


Treni maalum kwaajili ya usafiri wa jiji la Dar es Salaam ikiwa tayari imeshafanyiwa matengenezo kuanza kazi na kufanyiwa majaribio jijini.


Meneja Mkuu wa Kanda ya Tanzania wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia(TAZARA), Mhandisi Abdalla Shekimweri akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mhandisi Omar Chambo jana wakati wa majaribio ya Mabehewa matatu yakayofanya safari zake kutokea Dar-Kurasini-Mwakanga.Mabehewa hayo ni sehemu tu ya mabehewa yatakayokuwa yakifanya safari hizo.
 
Picha zote kwa hisani ya Kamanda wa matukio.

No comments:

Post a Comment