Monday, October 1, 2012

Hii picha imenigusa sana...

Wakaazi wa kijiji cha mto manispaa ya Morogoro wakimzuia mmiliki wa nyumba Aziz Saleh ambae alikuwa akishuhudia nyumba yake ikiteketea kwa moto.

picha kwa hisani ya kamanda wa matukio.

No comments:

Post a Comment