Wednesday, September 5, 2012

Kamera ya jembe mtaani leo...

 Hawa ni wavuta dawa za kulevya wakiwa wanapata huduma yao kinondoni asubuhi ya leo. Picha hii niliipiga kwa ufundi mkubwa ili wasinione, matokeo yake ikatoka vibaya. Ila si haba nimewapata japo kiduchu....


 Watu namna hii 'waokota chupa tupu za maji' wapo wengi sana mitaani mwetu. Tujihadhari nao maana wengi ni wezi. Wanajifanya kuokota chupa tupu kumbe wanaweka na vitu vya thamani mara ukijisahau na kuwaachia eneo..

Mtaani kwetu kuhama ni jambo la kawaida, tatizo ni gharama za kuhamisha ni kubwa sana..

No comments:

Post a Comment