Saturday, September 1, 2012Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Freeman Mbowe akiwa na baadhi ya viongozi wa Tawi la Chadema DMV aliopowasili siku ya Ijumaa Aug 31, 2012, kwenye uwanja wa kimataifa Dulles Airport, kwaajili ya mkutano uliofanyika leo Siku ya Jumamosi Spet 1,2012 .

Mkutana huo uliaza rasmi saa 4:PM (Kumi za Jioni) Wageni rasmi wamkutano huo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe Joseph Mbilinyi ADDR. Addr: 9670 Baltimore Ave. College Park. MD 20740

No comments:

Post a Comment