Sunday, September 2, 2012

Jamani kweli Rais wetu anatisha katika masuala ya mambo ya nje.... Kila kiongozi mpya anaeingia madarakani yeye anakuwa Rais wa kwanza Afrika kukutana nae. Unakumbuka Barrack Obama? Kikwete ndie aliekuwa Rais wa Kwanza Afrika kukutana nae... Mhhhh..


Hapa JK alipokutana na kaimu Waziri mkuu wa Ethiopia Hailemariam Dessalegn, Mjini Addis Ababa hivi karibuni. Hailemariam alikuwa naibu waziri mkuu wa Melles Zenawi, baada ya Zenawi Kuaga dunia yeye ndie anaekaimu nafasi hiyo, lakini duru za siasa nchini humo zinasema jamaa anaweza kuchukua nafasi hiyo moja kwa moja maana anazo sifa zote za kumrithi Zenawi...
Picha zote kwa hisani ya Freddy Maro wa Ikulu.

No comments:

Post a Comment