Thursday, September 13, 2012

Jana nimekutana na mdau wa kidojembe kutoka Mombasa....

Abdallah Ali huyu, mwanafunzi wa shahada ya Procurement. Nae alimaliza mwaka jana ila bado anasumbuliwa na matokeo yake hayaonekani kama ninavyosumbuliwa mimi. Yeye ametoka Mombasa nami nimetoka Dar es Salaam, kuja kampala kufuatilia upuuzi uliofanywa na chuo hiki.

Tunaacha shughuli zetu tunakuja kupoteza muda kwa masomo ambayo tulishayafanya na kuyalipia ada.
Tumezungumza mambo mengi sana na ndugu yangu Abdallah nae amenipa moyo kuiendeleza blogu hii ya kijamii... nashukuru mdau wangu..

No comments:

Post a Comment