Thursday, September 13, 2012

Leo nilikwenda kuiagalia timu ya mpira wa kikapu KIU... Nikamuona |Kidume...


Anaetoa maelekezo (Fulana nyekundu) anaitwa Henry Mwinuka ama maarufu Kidume. Ndie mwalimu wa kikapu chuoni KIU. Na huyu ndie aliemfundisha mcheza kikapu maarufu Tanzania na Marekani Hasheem Thabeet anaewika NBA.... Yupo hapa chuoni kwa miaka mingi sasa...

No comments:

Post a Comment