Thursday, September 13, 2012

Mzee Magufuli umetishaaa.....

Waziri wa ujenzi John Magufuli akikagua kiwango cha lami kilichowekwa katika barabara ya Kilwa, ambapo awali ilijengwa chini ya kiwango akawataka kuirudia kwa gharama zao...

Huyu mtu anakubalia sana kwa wilaya ya Chato, juzi nilipita jimboni kwake ana Hoteli inaitwa kwa Magufuli anapendwa kuliko unavyofikiri, usijaribu kuenda kugombea nae Ubunge utakoma... Na hata Biharamulo kuna shule ya sekondari inaitwa Magufuli na Chato pia niliona Shule ya msingi inaitwa magufuli... Upo juu mzee.

No comments:

Post a Comment