Thursday, September 13, 2012

Dah Wasomali noma....

Huyu ndie Rais mpya wa Somalia aliekoswakoswa kuuwawa jana mjini Mogadishu... anaitwa Hassan Sheikh Mohamud, lakini katika shambulio hilo watu wanne walikufa ambao inasadikiwa ni walinzi wake..

Rais Mohamud, alikuwa anajiandaa kuzungumza na wanahabari juu ya uchaguliwa kwake siku chache zilizopita. Rais huyo amepokea kijiti cha Rais wa mpito Shekh Sharrif ambae alionekana kuingoza vizuri nchi hiyo ilikyokumbwa na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe tangu kuangushwa ka utawala wa Rais Mohamed Siad Barre mwanzoni mwa miaka ya 1990, hasa ikizingatiwa alikuwa ametoka katika kikundi chenye siasa kali cha nchi hiyo..


No comments:

Post a Comment