Wednesday, September 12, 2012

Nimeingia Kampala jana,

Ndugu zangu,

Baada ya safari ndefu ya siku nne, nimeingia mjini Kampala jana. Nina picha nyingi sana lakini katika mji huu mtandao wa internet upo chini kuliko unavyofikiria. Kila ninapojaribu kuweka picha zinakataa.

Na nilifanya makosa sikubeba kompyuta yangu wala kifaa cha internet. Hivyo itawapasa musubiri zawadi zenu mpaka nitakaporejea mjini.

Nawapenda sana,

HAFIDH KIDO
KAMPALA, UGANDA
+255752593894/ +25679086878
kidojembe@gmail.com

No comments:

Post a Comment