Thursday, September 13, 2012

Niliwasili Kampala juzi mchana. Jana nikaalikwa katika kikao cha dharura cha watanzania wasomao KIU.... sikufanya hiyana.....

 Hapa wadau ama baraza la KIUTASA likiwa katika kikao cha dharura... Kutoka kushoto Abuu (mbunge), Lilian MKT wa tume, Audax katibu wa KIUTASA, Florance mkt KIUTASA, na  Johansen Makamu MKT. KIUTASA

Hapa jembe nikisikiliza kwa makini pembeni nikiwa na jembe langu Urso Luoga naibu spika kiutasa. mimi nilihudhuria kama mkt mstaaf ili kutoa mawazo. Hiki kilikuwa ni kikao cha dharura kujadili uchaguzi mkuu ujao wa serikali mpya na pia namna ya kupata tume ya uchaguzi... nilitoa mawazo yangu pia...

Msijali picha kutoka vibaya, kama nilivyotangulia kusema jana ni mtandao mbovu ndugu zetu wa Uganda walio nao.....

No comments:

Post a Comment