Saturday, August 18, 2012

Futari ya leo...

Asalam Allaykum,

Leo tutakula ndizi malindi zilizoungwa kwa nazi, maharage ya sukari, chapati na mchuzi wa kukaanga halafu nyama ya kukaanga ama ya kuchoma. Chai ya mkandaa na juice ya maembe.

Poleni wadau leo nimechelewa kuingia katika kido jembe, nilikuwa na kazi ya kusafisha nyumba, vyombo na nguo. Maana nimeachwa peke yangu nyumbani na kesho sisi watu wa ahlul Sunna wal Jamaa tutakula Eid. Si unajua tena....

No comments:

Post a Comment