Saturday, August 18, 2012

JK akihudhuria mkutano wa viongozi wa nchi za jumuiya ya SADC nchini Mozambique mjini maputo..

 JK akizungumza na Jackob Zuma wa Afrika Kusini wakati wakiwasili katika mkutano huo mjini Maputo, kabla ya Zuma kurejea nchini kwake kuenda kushughulikia matatizo ya Askari walioua watu wanaokisiwa kufikia 34 na kujeruhi mamia waliosalia....

JK hapa ndipo alipokutana na Rais wa Malawi Joyce Banda na kuzungumza kuhusu ziwa Nyasa...
Picha zote kwa hisani ya Fredy Maro wa Ikulu.

No comments:

Post a Comment