Saturday, August 18, 2012

Hivi unajisikiaje kukutana na mtu uliesoma nae?

Huyu anaitwa bwana Said Kambi, ni miongoni mwa watu niliokuwa nikiwaheshimu sana tulipokuwa chuoni Kampala. Kitu kilichonifanya kumuheshimu ni kupenda dini, yeye na Khalid Rushaka ni watu ambao walikuwa wakinivutia sana namna walivyokuwa wakidumisha sala na kumpenda Mungu.

Leo katika pita pita zangu nilikutana na Said, maeneo ya Kariakoo Al Urba. Hakika alifurahi nami nilifurahi pia maana ni meizi mingi hatujaonana yapata kumi...

No comments:

Post a Comment