Saturday, August 18, 2012

Hii ndiyo Afrika ninayoitaka, Tusiwape maneno ya kuzungumza wazungu wachonganishi. Hapa Jakaya Kikwete Rais wa Tanzania, akiwa na Rais wa Malawi Joyce Banda wakizungumza kuhusu misuguano ya mipaka katika Ziwa Nyasa. Ambapo hivi karibuni Rais Banda alipeleka meli za kuchunguza gesi katika Ziwa hilo na kuingia mpaka kwenye mipaka ya Tanzania na kudai ni yake. Zilikuwepo tetesi kuwa kunaweza kuzuka vita baina ya Malawi na Tanzania....


No comments:

Post a Comment