Tuesday, August 28, 2012

Leo jembe kama kawaida nimekutana na majembe yangu niliyosoma nayo TSJ Times School of Journalism mwaka 2005-2008..

 Huyu ni Chalila nilimuacha chuoni mwaka 2008 akimalizia diploma yake ya uandishi, kwa sasa yupo gazeti Tanzania Daima. Ni mwanahabari machachari sana maarufu kwa maswali yake ya mtego na kuchekesha ila ni ya msingi.

Huyu anaitwa Jerry nilikuwa nae TSJ kwa sasa yupo Tumaini University anamalizia shahada yake ila yupo Mtanzania gazeti kwa mafunzo. Kadhalika alikuwa waziri mkuu wangu wa chuo wakati nilipostaafu Urais wa chuo.

No comments:

Post a Comment