Monday, August 27, 2012

Hii inaitwa Die Hard.... Imetokea mjini Morogoro leo baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuzuiwa kuandamana na jeshi la Polisi. Vurugu zilitokea na mpaka sasa ni mtu mmoja aliethibitishwa kufariki na wengine kukamatwa na wapo waliojeruhiwa.


No comments:

Post a Comment