Friday, August 24, 2012

Napenda sana kupiga picha waandishi wenzangu. Ila kitu kinachonishangaza wengi hukasirika sana unapowawahi kwa picha YYYYY?

 Hapo vipi wadau, huyu anachukua picha na huyu anachukua maneno. Mjini tunasema ngoma droo..

 Hapa ni MAELEZO, niliwawahi wadau wawili wa TV Jery Muro TBC na Upendo Msuya Channel Ten.

 Hii ni jana wizara ya uchukuzi wakati Dr Mwakyembe anamsimamisha kazi mkurugenzi wa Bandari...

 Anthony Siame huyu wa Mtanzania, laiti angekuwa na kitu cha kunirushia nadhani asingesita kufanya hivyo.

 ukiona waamdishi wamejazana MAELEZ ujue siku hiyokuna issue kubwa ya hela ama mtaani ni kugumu.

Huyu ni Said Powa mmiliki wa blogu ya 'Raha za Pwani'. aliwahi kupiga picha Mwananchi ila sasa anamiliki blog. Gonga hapa uburudike www.saidpowa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment