Monday, August 20, 2012

Wadau mnayakumbuka mabasi haya? Yalikuwa yanaitwa Icarus, yalikuwa yakitoa huduma ya usafiri jijini Dar es Salaam, sijafanikiwa kulipanda hili maana wakati huo ilikuwa sijakuja mjini...


No comments:

Post a Comment