Sunday, August 26, 2012

hUYU MZEE NIMEANZA KUMJUA MWAKA 1997, ALIKUWA JIRANI YETU WAKATI TUNAKAA KIJITONYAMA 'SAYANSI' AKIWA HIVIHIVI ANATANGAZA NENO LA MUNGU. LAKINI NIMEMKUTA JUZI MJINI MTAA WA SAMORA AKIENDELEA NA KAZI YAKE AKIWA NA AFYA ILEILE... MHHHH


No comments:

Post a Comment