Thursday, August 30, 2012

Kumbe Tanzania bado hatufungamani na upande wowote?


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano mkuu wa 16 wa kimataifa wa wakuu wa nchi na serikali usiofungamana na upande wowote Duniani, mkutano huo umeanza leo mjini Teheran Iran.
 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment