Thursday, August 30, 2012

New Habari wamepamba moto hawataki mchezo waandishi wake wote wana passport za kusafiria....

Huyu Dennis Luambano mwandishi wa Mtanzania akitazama Pass yake baada ya kugundua ina makosa kidogo.


Bakari Kimwanga nae mwandishi wa Mtanzania akifurahia kitabuchake.


                                           Luambano hapa akimuonyesha jembe kitabu chake..

No comments:

Post a Comment