Saturday, August 25, 2012

Hivi mnamjua huyu mzee? Anaitwa Matonya kutoka Mkoani Morogoro ni ombaomba maarufu sana Tanzania. Amefariki leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Matonya alijizolea umaarufu sana kwa aina ya pekee ya kuomba msaada akiwa amelala chali na kuweka kopo lake juu bila kuchoka...No comments:

Post a Comment