Thursday, August 30, 2012

Kamera ya jembe mtaani...

 Kiumbe huyu amelala katika baraza ya mtu asubuhi hii. Hivi Serikali ikiwahesabu watu namna hii wanawauliza maswali gani?
Biashara ya mihogo imeshamiri mjini, dah kweli risk fil manyati...

No comments:

Post a Comment