Monday, August 27, 2012

Jamani eenhh Raia Mwema tumehamia Kinondoni. Tumetoka Shekilango na sasa tupo Kinondoni mkabala na Mango Garden. Ni nyumba ya tatu kutoka maskani ya Home Alone.


No comments:

Post a Comment