Thursday, August 30, 2012

Taarifa jembe ilizozipata ni kuwa aliewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Bi Hawa Ngalume amefariki..


Taarifa tulizozipata hivi punde ni kuwa aliyewahi kuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Bagamoyo na Mbarali kwa vipindi tofauti Bibi Hawa Ngulume amefariki dunia jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Kwa kujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana taratibu za mazishi zinaandaliwa na taarifa kamili itatoilewa baadaye.No comments:

Post a Comment