Wednesday, August 29, 2012

kamera ya jembe mtaani leo...

 Hii picha niliipiga maeneo ya Aga Khan, nikiwa ndani ya bus chana huu. Imekaaje wadau, nzuri ama inaboa.

 Hapa ni Aga Khan Beach, muda mrefu askari walikataza magari kuegesha pembezoni mwa bahari, lakini nashangaa leo nimekuta magari mengi yameegeshwa bila wasiwasi, sijui ile sheria imefutwa?

Huyu si mwendawazimu wala si ombaomba, ni mtu na akili zake amechoka tu na madhila ya dunia akaamua kulala pembezoni mwa barabara...

No comments:

Post a Comment