Wednesday, August 29, 2012

hivi wanakijiji kule mpanda ama malampaka wakiona namna watu mjini wanavyoharibumaji na wao wanatembea maili kadhaa kuyatafuta watajisikiaje?

Leo asubuhi nikielekea bahari beach hotel (jina la utani) posta mpya nilipitia eneo la New Africa hotel nikamkuta huyu bwana anafagia barabara ya hotel kwa kutumia maji. Kitu kilinijia akilini hivi watu walio vijijini wakiona picha hii wataandamana ama? maana kuna shida ya maji ndoo moja inabebwa kichwani kwa maili kadhaa, lakini huyu mtu ameumia ndoo kama 100 kusafisha barabara.

No comments:

Post a Comment