Thursday, July 26, 2012

Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal afungua kongamano la maradhi ya kisukari kwa nchi za Afrika mjini Arusha...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo Julai 26, 2012 jijini Arusha.
Dkt. Bilal, akizungumza na baadhi ya watoto wanaishi na ugonjwa wa Kisukari kutoka Mataifa mbalimbali ya Afrika, wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo Julai 26, 2012 jijini Arusha. Kulia ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii.

Dkt.Bilal, akisalimiana na Rais wa ‘International Diabetes Federation’, Jean-Claude Mbanya,  baada ya kumaliza  hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo Julai 26, 2012 jijini Arusha.

Picha zote na Muhidini Sufiani mpiga picha wa Makamu wa Rais..

No comments:

Post a Comment