Monday, July 30, 2012

JK afiwa na bwanshemeji....


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akihudhuria mazishi ya shemeji yake Marehemu Amani Kinyozi (45),  aliyefariki Jumamosi jijini Dar es salaam, na kuzikwa leo katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi.
Picha kwa hisani ya Nkoromo blog.

No comments:

Post a Comment