Sunday, July 29, 2012

Jamani eennhh... jembe lenu nae ni mwanachama wa Rotary International... Nilipokuwa nchini Kampala nilipata kushika nafasi mbalimbali kama Sargent at arm na nyingine nyini katika klabu ya Rotaract Kampala International University iliyokuwa chini ya klabu ya Muyenga Rotary. Ati wanatuita freemason mmhhh....

 Rais wa Rotary Club ya Dar es salaam Mzizima, Rotarian Ambrose Nshala akimkabidhi zawadi rais wa Rotary Kimataifa Rotarian Sakuji Tanaka kutoka nchini Japan. Alipokuwa nchini kwa ziara za Kirotary.






Rais wa Rotary duniani, Rotarian Sakuji katika ghafla ya kumkaribisha nchini akiwa ameambatana na mkalimani wake. Mwengine ni Rotarian kutoka Kenya Geeta Manek.

No comments:

Post a Comment