Sunday, July 29, 2012

Ngassa, akitaka kujiharibia kipaji chake basi ajiingize katika mambo ya Uyanga na Usimba. Hizi ni timu za magazeti hazikufai piga soka Azam kijana...

Hii picha ilipigwa juzi, na niliiona katika moja ya magazeti hapa nchini na kichwa cha habari, 'Njoo Yanga kijana'

Nilipokuwa uwanja wa Taifa tarehe 28/07/2012, niliona namna mashabiki wa Azam na Simba walipopiga kelele walipoona Mrisho Ngassa anaingizwa kucheza dhidi ya Yanga, wengi walilalamika kuwa hawezi kuifunga Yanga kwani ana mapenzi makubwa na timu hiyo. Wewe mtazamo wako ni upi?

No comments:

Post a Comment