Sunday, July 29, 2012

Vifaa vya timu ya Coastal Union Msimu ujao wa ligi hivi jamani... raaha ama sio rahaaa?

 Huyu ni Juma Mgunda 'kipande cha baba' Ndie Kocha mkuu wa timu ya Coastal wagozi wa kaya.....
Enzi zake hizi akiichezea timu ya Coastal akitokea polisi ya morogoro...

 Pius Kisambale huyu akikaribishwa klabuni na makamu mwenyekiti dah.... raha si rahaaaa?


                                      huyu anaitwa Jerry santo jamani....


 Athuman Omari huyu akipeana mkono na makamu mwenyekiti klabuni barabara ya 11 tanga baada ya kujiunga na wagozi wa kaya...


 Suleiman Kassim Selembe. Akikaribishwa klabuni barabara ya 11 Tanga na Makamu Mwenyekiti, Steven Mnguto. 

 Huyu ndie mchezaji anaesakwa na Wagosi wa Kaya,na kama akinaswa basi itakuwa ni timu ya kwanza Afrika mashariki kutoamchezaji kutoka Brazil.. Simjui jina lake wadau ila nitalitafuta halafu nitawapasha.


Jamani huyu ni Atupele Green, baada ya kutiliana saini na msemaji wa timu Eddo Kumwembe jijini dar es salaam... Ni mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 20. Na ndie aliefunga bao pekee la timu yetu leo dhidi ya wanaijeria.  

No comments:

Post a Comment