Thursday, July 26, 2012

Ng'ombe wa masikini hazai, na akizaa anazaa dume na dume lenyewe pia linakuwa......

Ndugu zangu,

Leo nimehudhuria kikao cha wizara ya fedha kujadili mapendekezo ya sheria mpya ya msajili wa hazina kinachofanyika ukumbi wa Blue Pearl Ubungo Plaza.

Lakini nimeshindwa kupata picha hata moja maana kamera ya jembe iliharibika jana usiku. Hatari kubwa hii....

Na ndiyo maana waswahili wakasema siku zote ng'ombe wa masikini hazai, na akizaa basi ujue atazaa dume, na vijana wa kihuni wakaongeza na dume lenyewe linakuwa si riziki yaani hata kuzalisha haliwezi...

No comments:

Post a Comment