Sunday, July 29, 2012

Futari ya leo,

Asallam alayku,

Leo tutakula Chapati na mchuzi wa kima (nyama ya kusaga), bhajia, meat chop, mayai ya kuchemsha, uji wa nano nzima na tende ambazo hazijaiva sana. Chai ya mkandaa (black tea) na juice ya maembe. halafu pata tikiti maji (water melon) usisahau kunywa maji mengi kama kawaida. 

No comments:

Post a Comment